Stella Mwangi Ft Kristoff and Khaligraph Jones – Biashara Lyrics

  0
  71

  Intro(Stella Mwangi):
  Yes, You Have To Flip It, 2013, Twende Biashara Boss…

  Verse 1(Stella Mwangi):
  Mi Na Biashara, Flow Sintara, Flow So Tight Ask Chris Kantara,
  Young Impala, A** Like Prada, Na Kama Huwezi Shikanisha Basi We Ni Falaaaa.. ah, Basi We Ni Fala,
  Mi Naenda Pale Kila Kitu Dollar Dollar,
  President Moi, Kibaki Wana Holla, Naonyesha Kidole, Pole, Ah,
  Tumbo Tumbo Kubwa Kama Rick Ross, Pesa Zetu Mnafanyia What?
  Kazi Kwa Vijana Pesa Kwa Maboss, Wacha Kuwa Floss Aii?, Ati Wasanii Wataget Ganji 2030, Nitakuwa 54 hede Inaenda 30,
  Mbere Ta Muhuko Wa Shati Ya Khaki, Cheque Karatasi, Kari Kii? Yah, Kari Kii?,
  Mi Ni STL, The Bigger The Better, I Emcee On The Mic Come Chester,
  Hii Biashara Ni Kaa M-Pesa, We Send, Tuta Receive, Na Ka Hu Send, Sikuskii…

  HOOK:
  Biashara Ni Biashara,
  Onginyona Hau We Nie Ndigehara {x3},
  Biashara Ni Biashara {x3},
  Onginyona Hau We Nie Ndigehara,

  Verse 2(Khaligraph):
  Yo, Biashara Niko Busy, Na Mziki Ndio Waligrizi,
  Na Pengine Maji Maji Utadhani Gidi Gidi,
  In Other Words Niko Tei Na Jaba Ju Niliskia Pia Kukula Mei Ni Swaga,
  From The Business Land, Nairobi To Be Specific,
  Mi Huget Proposal, Naacha Na Illicit,
  River Road Baby, Thats Where You Gonna Find Me, I Be Gettin My Money Fast, Calling People Hadharani,
  Niko Na M-Pesa, Co-Operative Niko Na Equity, Pesa Ni Nyingi Nimeivisha So Mi Nina Publicity,
  Paparazzi Piga Mapicha Then Tuzione BBC, Nashika Ma Mita, Biz Imejiba Juu Nimesign Na DTB,
  Biashara Baby What it Do Miss Stella, I’m The Man With The Power So I Make You Feel Like Cinderella,
  And I’m Makin It Shower So Hope You Got Your Umbrella, Always Biashara Baby, Stella Go Ahead & Tell Em’….

  HOOK.

  Verse 3(Kristoff):
  Niko Na STL Si unajua Gap Huwa Ni Kali, Mi Hupenda Ku Chew Gum Unaeza Nipata Hurli,
  Asalaam Aleikum, Waleikum Salaam, Mi Hupenda M-Pesa, Pesa Pap Na M- Shwari,
  Hustler Ambaye Hu Peel Doe Kama Ndizi, Mi Hu Pick & Peel Si Huyu Boy Ni Mjuicy,
  Easy, Flow Chizi Kama Matiba, Na Iko On Point Kaa Abdouba Dida,
  Biashara Leta Pesa, Weka Doe Kwenye Mkeka, Mi Naleta Heka Heka, Flow Najiita Proffesor,
  Kristoff Ndio Anatesa Kila Time Weka Pressure, Pima Na Tape Measure, Kule Ethiopia Anapozesha,
  Anapenda Rose Na Ye Si Amber, Ni Kama Video Utadhani Ni Mkamba,
  Biashara Ndio Mi Hulamba, Pesa Siku Hizi Imenifanya Mweupe Kaa Pamba,